TZS 450,000/ month
Sinza Madukani Bus Stop, Dar es Salaam
Apartment nzuri ya kisasa. Ina vyumba viwili, kimoja ni master. Sebule kubwa, jiko la kisasa lenye makabati. LUKU inajitegemea, maji ya DAWASA yanatoka ndani masaa 24. Eneo lina ulinzi na parking ipo. Kodi inalipwa miezi 6.
Shuka kituo cha meeda, nyuma ya jengo la ofisi za mtaa. Barabara inafikika na gari.
Sinza Madukani, Kinondoni, Dar es Salaam
Posted Oct 9, 2026