TZS 180,000,000
Goba, Dar es Salam
Nyumba mpya inauzwa. Imejengwa kwa viwango vya juu sana. Master bedroom moja kubwa yenye walk-in closet. Ina public toilet, dinning area, na jiko kubwa. Nje kuna paving blocks na fensi ya umeme (electric fence). Hati miliki (Title Deed) ipo safi. Karibu kwa mazungumzo.
Kituo cha njia nne, nenda barabara ya vumbi kuelekea shule. Nyumba ipo upande wa kulia yenye geti jeusi.
Goba, Kinondoni, Dar es Salaam
Posted Oct 10, 2026